jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
wana jf, kwa atakayejibu swali hili kwa ufasaha atapata zawadi toka kwangu. Swali ni
"kuna neno moja ambalo limebeba jina la mnyama, ,jina la mtu na jina la mkoa. Je, hilo ni neno gani?
Kimara
Wana Jf, kwa atakayejibu swali hili kwa ufasaha atapata zawadi toka kwangu. Swali ni
"Kuna neno moja ambalo limebeba jina la mnyama, ,Jina la mtu na jina la mkoa. Je, hilo ni neno gani?
kimara sio mkoa@halati88
Wana Jf, kwa atakayejibu swali hili kwa ufasaha atapata zawadi toka kwangu. Swali ni
"Kuna neno moja ambalo limebeba jina la mnyama, ,Jina la mtu na jina la mkoa. Je, hilo ni neno gani?
Ndugu halati88, jibu ni kimara ndio lakini nitajie jina la mtu, mkoa na mnyama kukamilisha jibu lako ili nikupe zawadi yako tafadhali.
kimara sio mkoa@halati88