Hali zenu wakuu,
Nawashukuru katika thread ya last week tulijadili sana kuhusu wako wapi ma TO waliopita? na tulitafakari mengi....
Leo sina hoja ya moja kwa moja bali naomba kila mmoja atafakali haya :-
N.B: Naomba msimind kwakua nyie ni great thinkers hapo tutapata uchambuzi wa maana, kila la kheir, tufanyeje?
Nawashukuru katika thread ya last week tulijadili sana kuhusu wako wapi ma TO waliopita? na tulitafakari mengi....
Leo sina hoja ya moja kwa moja bali naomba kila mmoja atafakali haya :-
- Jaribu kwenda wizara ya elimu na ufanye tathmini ya wakurugenzi na wakuu wa idara wetu wakuu.....je watoto wao wanawasomesha private/public?
- Kabla hujaondoka wapitie makatibu wakuu, manaibu, makamishna nakadhalika nao jiulize swali hilo hilo.... je watoto wao wanawasomesha private/public?
- Nenda NECTA, VETA, TCU na taasisi zote zenye kushiriki katika elimu .... je watoto wao wanawasomesha private/public?
- Nenda baraza la mawaziri pamoja na ikulu na kunakofanana na huko .... je watoto wao wanawasomesha private/public?
- Nenda bungeni na wakague hawa watetezi wa wananchi wa pande zote tawala na upinzani ... je watoto wao wanawasomesha private/public?
- Nenda mikoani na wilayani na jiulize kuhusu waimamizi wetu wa elimu .... je watoto wao wanawasomesha private/public?
- Usiwasahau wakaguzi wa shule .....je watoto wao wanawasomesha private/public?
- Mnaongea value for money ...nenda kwa CAG, je watoto wao wanawasomesha private/public?
- Sasa ongeza safari zako binafsi za uchunguzi kada za chini.
N.B: Naomba msimind kwakua nyie ni great thinkers hapo tutapata uchambuzi wa maana, kila la kheir, tufanyeje?