Chemsha bongo: Nani anafuatia?

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Mchezo wa chemsha bongo: Nani anafuatia?

Kutokana na mkondo wa historia tunaweza kuona kwamba mabadiliko makubwa ya kijamii na kisiasa kwa kawaida huambukiza nchi moja baada ya nyingine (domino effect). Katika miaka ya 60 kulikuwepo mikakati ya Indochina, miaka ya 70 ilifuatia migogoro ya madikteta Latin Amerika wakati mwanzoni wa 90 mfumo wa kikomunisti Ulaya Mashariki ulisambaratika. Hivi sasa 2011 tunaanza kuona yatokeayo kaskazini mwa Afrika na Mashariki ya Kati.

Je baada ya huko ni nani anayefuatia? Ninawasilisha chemsha bongo kwa wanajamii!
 
King Mswati wa Swaziland nae wananchi wake wameanza kumzengea. Jamaa ni dikteta wa hali ya juu!
 
acha banaa hii kitu haina haja ya kuotea maana haya mambo yanakuja automatically
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom