Chemsha bongo kwa wenye akili timamu

Chemsha bongo kwa wenye akili timamu

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
360
Ukishindwa hili,basi kichwa kinakulemea bure ila hamna chochote cha maana kichwani!

Ni katika muktadha(situation) au mazingira ambapo 2x3 si sawa na 3x2

Ukishindwa hili,basi kichwa kinakulemea bure ila hamna chochote cha maana kichwani!

Ni katika muktadha(situation) au mazingira ambapo 2x3 si sawa na 3x2

ungeanza kutufafanulia wewe ingekua poa.,lasivyo na wewe umelemewa kichwa tu
 
namna ya kumeza dawa:2*3 means,2 asubuhi,2 mchana,2 jioni ila 3*2 means 3 asubuhi na 3 jioni,haya umeelemewa na bichwa lako mwenyewe!

whaw!!!!!!, best thinking hata mimi nilikuwa sijafikiria. Ngoja na mimi nifikirie jibu lingine kama nitapata.
 
michakato ya kusolve ikwesheni yako iko kwenye process...
 
nilijua tu kitanuka watu mida hii wameminywa na stress mshahara umeshakata na madeni yako palepale
 
Ukishindwa hili,basi kichwa kinakulemea bure ila hamna chochote cha maana kichwani!

Ni katika muktadha(situation) au mazingira ambapo 2x3 si sawa na 3x2

Kitanuka subiri uone
 
Mbona mambo madogo tu kijana??? Mimi nina genge nauza mboga mbalimbali. Nikipanga mafungu matatu yenye nyanya mbili kila moja huoni ni tofauti na kupanga mafungu mawili yenye nyanya tatu kila moja? Au ulijiona umeuliza bonge la swali kwa kuwa akili yako ndipo ilipoishia???
 
Back
Top Bottom