Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,597
- 65,047
- Thread starter
- #21
Tutapiga kura 😀😀Mshindi ni mimi haina ubishi hiyo. First to answer, first to win.
Tutapiga kura 😀😀Mshindi ni mimi haina ubishi hiyo. First to answer, first to win.
Tukiamua kujizira tunawezaNakazia: One quadrillion and two hundred trillion.
ha ha haJibu Sahihi: Serikali haiwezi kuamua 'Jambo la Ajabu' kama hilo hata iweje.
Nakupongeza sana mkuu; hilo ndilo jibu sahihi, pata soda hapo kwa jirani kwa gharama ya mfuko wako.Nakazia: One quadrillion and two hundred trillion.
🙏🏽Nakupongeza sana mkuu; hilo ndilo jibu sahihi, pata soda hapo kwa jirani kwa gharama ya mfuko wako.
Wenye makampuni watakuja mkuu, kwa ajili ya mahesabu ya mwaka
Bajet ya wizara ya ulinzi ya marekan kwa mwaka ni US dollars 705.39 billions sawa na trillions 1,736 za TanzaniaSerikali itatumia trilioni miamoja na ishirini.
Kumbe lilihitaji hisabati! Mi nikadhani ni kama yale ya mafumboNakupongeza sana mkuu; hilo ndilo jibu sahihi, pata soda hapo kwa jirani kwa gharama ya mfuko wako.
Kuchangamsha akili pia ni muhimuKumbe lilihitaji hisabati! Mi nikadhani ni kama yale ya mafumbo
Kama maamuzi yatapitishwa, inaweza kuchukua miaka mingapi kukamilika?1.2 quadrilion.
Haijafika hata budget ya ulinzi ya USA.
20,000,000×60,000,000Bado bado, fikirisha kichwa