hah hah mkuu umenifanya nicheke kwa sauti, kijana anataka kuleta shida huyu!Shenzi sana we kijana.Ina maana hujui kuwa wazee wengine tuna presha itokanayo na pesa nyingi?
angalia title ya jukwaa mkuu 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' ugreat thinker peleka jukwaa la siasa et alNimegundua tofauti ya kwanza iko nje ya video na ya pili iko ndani ya video
1. Mleta post utakuwa umeadhiriwa na ukaguzi wa vyeti feki, maana hii siyo akili ya Great thinker
2. Kwenye video kuna picha ya mito na misitu na kuna pc ya dubwasha la ajabuajabu la kuogopesha watoto