Nyumbani kwangu hapo uliipiga hii picha lini maanatangu nifanye marekebisho sijafanya sherehe yoyote au we ni yule fundi wa rangi mgosi nini??? Ntakosanana wewe kabisa..
Hapo Siyo Hotelini Bali Ni Nyumbani Kwa Waziri Lazaro Nyalandu Oysterbay Na Hayo Ni Magari Yake Na Hivyo Vijumba Ni Vya Kulala Watoto Wake Waliozaliwa Na Faragha Naokota!!!!!