Chelsea yamsajili N'Golo Kante

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
126,599
241,425
Amesajiliwa kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia paundi milioni 32 na amepewa mkataba wa miaka mitano .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba Leicester city walishaamua kumpa mkataba mpya na kumuongezea mshahara hadi kufikia paundi laki 1 kwa wiki , lakini inasemekana kante mwenyewe aliamua kuondoka ili kutafuta changamoto mpya .
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

Back
Top Bottom