Chelsea ndio bingwa japo kombe kapewa Liverpool

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
964
1,689
Chelsea ndo bingwa wa mech hii ya super cup kasoro ni kombe tu ndo hajabeba lakin vilivyobaki Liverpool wamesubiri

Chelsea wameupiga mwingi sana wamecheza mpira wa kueleweka sio kubahatisha kama Liverpool .

Marefa hawa wanawake wameharibu mechi ....
Mpaka sasa sielewi sababu ya kuweka wanawake marefa

VAR ndio kitu kitakacho nifanya niache kushabikia football ...

Nawapongeza sana Chelsea kwa ubingwa
Nawapongeza Liverpool kwa kushinda kombe
 
Chelsea wakishindanishwa na timu ya taifa ya wanawake ya ufaransa watafungwa kama kindergarten labda wafanye faulo za kibabe tu. Defense ile hakuna anayeweza kumsimamisha Diani kule right wing, halafu hakuna wa kumzuia Gauvin asifutungue nyavu. Wakipambana na USNWT ndiyo tena majanga.
 
Acha uongo,kwa hiyo hao wanawake ni wakali kuliko Liverpool ya akina Sara,Mane na kocha wao. Mbona wao wameshinda kufikisha 4.
 
IMG_4541.JPG
 
Chelsea ndo bingwa wa mech hii ya super cup kasoro ni kombe tu ndo hajabeba lakin vilivyobaki Liverpool wamesubiri

Chelsea wameupiga mwingi sana wamecheza mpira wa kueleweka sio kubahatisha kama Liverpool .

Marefa hawa wanawake wameharibu mechi ....
Mpaka sasa sielewi sababu ya kuweka wanawake marefa

VAR ndio kitu kitakacho nifanya niache kushabikia football ...

Nawapongeza sana Chelsea kwa ubingwa
Nawapongeza Liverpool kwa kushinda kombe
Kupata vichekesho vingine kama hv andika neno CHELSEA kisha tuma kwenda no 15302
 
Unaongea nn wewe mbona na nyie tumewakosa kosa sana

Hafu ile sio penati , karefa kalkua kana mihemko tu
.kwanza wachezaji wa chesii wakabaki hawaamini

Mpira umeharibiwa na wale marefa wanawake ila bado na nyie tulwakosa wakosa ..sasa we ultegemea chelsea wacheze vibya huku wametoka kupigwa nne na man u

Ila kante anajua ....

Vile vitoto vyenu vingine viambien vipunguze punyeto vitakua vizuri
IMG_20190814_163931.jpeg
 
Chelsea ndo bingwa wa mech hii ya super cup kasoro ni kombe tu ndo hajabeba lakin vilivyobaki Liverpool wamesubiri

Chelsea wameupiga mwingi sana wamecheza mpira wa kueleweka sio kubahatisha kama Liverpool .

Marefa hawa wanawake wameharibu mechi ....
Mpaka sasa sielewi sababu ya kuweka wanawake marefa

VAR ndio kitu kitakacho nifanya niache kushabikia football ...

Nawapongeza sana Chelsea kwa ubingwa
Nawapongeza Liverpool kwa kushinda kombe
Statistics speak for themselves
Screenshot_20190815-105632.jpeg
 
Acha uongo,kwa hiyo hao wanawake ni wakali kuliko Liverpool ya akina Sara,Mane na kocha wao. Mbona wao wameshinda kufikisha 4.
Chelsea hakuna wa kumzuia Diani kule right wing na striker Gauvin kupata mabao. Labda wewe hujawaona mabinti wale wanavyotembeza kabumbu. Halafu forward line ya Chelsea hakuna anayeweza kupita ulinzi wa Renard na kumfunga Bouhai. Ukibisha beti tuitishe shindano hilo uoge mvua aibu na marafiki zako.
 
Acha uongo,kwa hiyo hao wanawake ni wakali kuliko Liverpool ya akina Sara,Mane na kocha wao. Mbona wao wameshinda kufikisha 4.
Kwani kina Rashford,martial na lingard ninwakali kuliko salah mane na filmino ??
 
Back
Top Bottom