Ramiles, Oscar,Nikiiwaza Chelsea KICHWANI zinanijia sura za WAFUATAO......
Peter cech.
Bosingwa.
Ashley cole.
Willium Gallas
John Terry.
Ivanovich.
Esien, obi, makelele. Ballack, ngolo kanute
Malouda, hazard.
Flank lampard.
Didie Drogba.
Mapung'o.
Anelka
Waache wavune walichopanda. Chanzo cha huu ujinga wote ni ile dhuluma waliyomfanyia mmiliki halali wa timu (Roman Abramovich). Tangu hii timu ilipochukuliwa kwa hila na hao Wamarekani, haijawahi kuwa na matokeo mazuri.
Mimi ni mshabiki wa hii timu, ila sikufurahishwa hata kidogo na kile kitendo alichofanyiwa jamaa kwa kisingizio cha yeye kufungamana na vladimir putin.
Dhambi ya ule unyang'anyi waliomfanyia jamaa iwaandame kwa miaka mingi, ili iwe funzo kwa wapumbavu wengine wenye tabia kama za Uingereza na Marekani.
He danced in your tuneHongera sana Kaka.
Kwa mala ya kwanza nakuona ukiandika hoja NZITO MNO.
Hakika umeandika KWELI tupu.
Fact mkuu na huo ndo ukweliWaache wavune walichopanda. Chanzo cha huu ujinga wote ni ile dhuluma waliyomfanyia mmiliki halali wa timu (Roman Abramovich). Tangu hii timu ilipochukuliwa kwa hila na hao Wamarekani, haijawahi kuwa na matokeo mazuri.
Mimi ni mshabiki wa hii timu, ila sikufurahishwa hata kidogo na kile kitendo alichofanyiwa jamaa kwa kisingizio cha yeye kufungamana na vladimir putin.
Dhambi ya ule unyang'anyi waliomfanyia jamaa iwaandame kwa miaka mingi, ili iwe funzo kwa wapumbavu wengine wenye tabia kama za Uingereza na Marekani.
Hawa hata wakirudi leo mwenye veteran game na current squad lazima wapate matokeoNikiiwaza Chelsea KICHWANI zinanijia sura za WAFUATAO......
Peter cech.
Bosingwa.
Ashley cole.
Willium Gallas
John Terry.
Ivanovich.
Esien, obi, makelele. Ballack, ngolo kanute
Malouda, hazard.
Flank lampard.
Didie Drogba.
Mapung'o.
Anelka