Chelsea mtaniua kwa pressure....

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,735
5,967
Huku kukiwa na pilika pilika ya vilabu vya EPL kufanya usajili vikijiwinda kuanza kwa MSIMU mpya wa ligi 2016/2017.. Lakini klabu yangu pendwa niliyo na mahaba nayo CHELSEA mpaka sasa imefanya usajili wa wachezaji wawili tu.. Ng'olo Cante na Batshuay... Sina hakika kama wapo wengine (sijasikia) Huku wenzetu wakiendelea kusajili na kutaja majina (Arsenal)... Sisi tumeshindwa kutaja hata majina, klabu ikionekana dhahiri bishahiri Kuwa na mahitaji ya beki wa kati kiungo na striker... Inakuaje, Conte ana mipango gani na club... MSIMU ndo huoooo..
 
Tulia kijana kuna mtu anaitwa morata anakuja hapo mda si mrefu pamoja na beki wa kati wa juve anaitwa banucci
 
Chelsea INA wachezaji kibao yani hata kusajili nikutokuwaamini tu madogo
 
Huku kukiwa na pilika pilika ya vilabu vya EPL kufanya usajili vikijiwinda kuanza kwa MSIMU mpya wa ligi 2016/2017.. Lakini klabu yangu pendwa niliyo na mahaba nayo CHELSEA mpaka sasa imefanya usajili wa wachezaji wawili tu.. Ng'olo Cante na Batshuay... Sina hakika kama wapo wengine (sijasikia) Huku wenzetu wakiendelea kusajili na kutaja majina (Arsenal)... Sisi tumeshindwa kutaja hata majina, klabu ikionekana dhahiri bishahiri Kuwa na mahitaji ya beki wa kati kiungo na striker... Inakuaje, Conte ana mipango gani na club... MSIMU ndo huoooo..
Luiz na alonso hawajasajiliwa msimu huu? Nyie masabiki maandizi tuachieni wenye timu zetu
 
[HASHTAG]#firstneverfollow[/HASHTAG]
1474152490953.jpg
 
Utabiri wako sio mbaya sana na hauko mbali na ukweli ila wakati mwingine akiwazacho mtu ndo kinamtokea.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom