reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
the blues ipo mbioni kuwauza mata, luizi, terry, ba, katika dirisha dogo la usajili huku wakitaka kuingiza nyota watano darajani akiwemo falcao. pia ashley cole kuna uwezekano mkubwa akaondoka darajani hii ni pamoja na kupigwa bench mech mbili mfululizo kutokana na kiwango chake kutoridhisha. timu haichezi vizuri kwa sasa ila kwa fans wa blues tutegemee makubwa siku za usoni kwani kocha mpya kujenga timu anahitaji mda.