Chelsea FC

Chelsea FC

VJ10

New Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
4
Reaction score
0
CHELSEA leo usiku inaenda chukua tiketi yake rasmi ya kwenda kucheza final ya EUROPA LEAGUE jaman plz dont mic to watch.... chama kubwa
 
Last edited by a moderator:
Akichukua hilo kombe atakuwa sawa na kina Barca,ajax,bayern na juventus,ambao wamewahi kuchukua European cup,cup winners cup na Uefa cup.Pride of london.
 
Tukichukua hiyo tunaweza kutana na Bayern Munich kwa mara nyingine lakini safari hii itakuwa katika UEFA Super Cup!:mvutaji:
 
Blue is the color and football is the game...
 
Hii mechi Chelsea wanashinda hawa jamaa hawana plan B kama Barca vile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom