Chelsea complete signing Cesc Fabregas from Barcelona

Chelsea complete signing Cesc Fabregas from Barcelona

Amesha fulia,Laana za Wenger hizo,kama Alexander lehb,naye ilikuwa hivyohivyo saa hizi hasikiki.

Cesc bado ni mchezaji mzuri kwa EPL alifanya makosa kulilia kwenda nyumbani (Barca) still Arsenal hawana mchezaji kama yeye,
 
Ninahisi Cesc bado yupo safi, Hivi dirisha la usajili limeanza lini?

Chelsea mpaka sasa wanasajili vizuri, na inaonyesha bado wataendelea kusajili, ila tatizo aina yao ya uchezaji wa kupaki treni sijui kama utawasaidia hawa wachezaji wanaowasajili.
Nafikiri nimekubaliano ila official za karatasi kwenda FA itakuwa ni 1st July ili mchezaji aruhusiwe kucheza.
 
Chelsea ni timu ambayo kila msimu lazima isajili at least wachezaji 5,kumbuka Luiz,Cole,Lampard,Etoo wameshatupiwa virago Mikel,Ba,Lukaku nao huenda wakaondoka so ukiacha Diego Costa kuna striker mwingine atatua,full beki wa kushoto
Cesc bado ni mchezaji mzuri kwa EPL kule Barca kulikuwa hakumfai,Barca wamegundua walifanya kosa kumuuza Thiago Alcantara

Mpaka leo sielewi kwanini JM hataki kumrudisha Lukaku... anang'ang'ania kubakia na akina Demba Ba na mzigoTores

Huyo Thiago sijui ninasikitika tulimkosa
 
Mpaka leo sielewi kwanini JM hataki kumrudisha Lukaku... anang'ang'ania kubakia na akina Demba Ba na mzigoTores

Huyo Thiago sijui ninasikitika tulimkosa
. Ila mapema mno kusema atabaki na Demba Ba na Torres ila kuja kwa Fabregas nafikiri Torres atabaki. Ila Costa mashine Lukaku wakubakishwa ila pia wakiuza watapata pesa nzuri ya kuleta zaidi mpaka sasa Chelsea deal la Luiz kumuuza millioni 50 ni Zuri sana wamepokea upesi ile pesa wametumia 30m Wana 20million na kuondoka kwa Lampard na Cole itasaidia wataokuja kupata mshahara Mzuri nimesahau Costa amenunuliwa 30m kwahiyo wametumia 10m. Najuwa Torres anachemsha ila Pengine Fab ndio atamchezesha Torres vizuri. Uzuri wa Morinho Hana muda wa ku gamble players na kulea watoto.
 
ujue m nawashangaaa thana mashabiki wa chelsea sasa walimuuzia nn mata sasa mnamchukua fbgs
 
Fab bado ni mchezaji mzuri. Atawasaidia sana darajani ila tu awe makini na style ya Mr Anti-Football. Hatakuwa na uhuru wa ku-attack sana sababu Jose hupenda mid zake zirudi deep nyuma.
At some point anaweza aidha akang'ara sana ama akawa-frustrated kama Eden Hazard na Luiz
 
Cesc bado ni mchezaji mzuri kwa EPL alifanya makosa kulilia kwenda nyumbani (Barca) still Arsenal hawana mchezaji kama yeye,

Kaka, There's no doubt kama Cesc ni mchezaji mzuri, lakini kulingana na umri wake, alitakiwa azingatie kwanza kipaji chake kuliko maslahi..

Itakuwa haina haja ya kuvuta mkwanja mrefu, wakati unateketea bench, Hicho kimemkuta Mata, chelsea pale, na ishu ikaamia kwa oscar pia!!..Cesc hawez kufit kabisa kwenye mfumo wa Mourinho..

Cesc, hawez kukaba, hana pace, hana nguvu, anachoweza yeye ni Kutengeza nafas za kufunga na kutoa pass zenye jicho la 3..hicho kitu ndo Ambacho Mata anacho, lakini alishindwa kushine chini ya Mourinho..

Na yawezekana, Mrusi, ndo akawa amemtaka Cesc, lakin syo Mourinho..kwasababu sioni Cesc anaingiaje kwenye mfumo defensive wa Chelsea!!!!

Na alichokifata chelsea ni PESA, coz inasemekana, kilichokuwa kinazikimbiza clubs nyingi ni mshahara aliokuwa akiudemand!!!..nahis Chelsea wameufikia!!
 
Back
Top Bottom