palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
Habari ndiyo kijana ameshatua darajani kwa mkataba wa miaka mitano
http://www.bbc.co.uk/sport/0/football/27819204
http://www.bbc.co.uk/sport/0/football/27819204
Habari ndiyo kijana ameshatua darajani
![]()
galasa hilo
galasa hilo
Hleb mpya Huyo wachezaji asilimia kubwa wakiondoka EPL wakirudi wamekwisha sijui Kama Fabregas atakuwa Yule wa zamani yangu macho, ila Chelsea na City ndio zitafanya vizuri.
Kweli Chesea ina vikongwe, Kuanzia Petr Cech, Eto, Cole, Terry, Obi Mikel,
. Gerrad nitaishangaa akienda Old Traford sababu umri wake ushaenda ila Cesc sikuweza kushangaa ila na wasiwasi na Fabregas sehemu moja Kama akianza kukaa Bench sana kuzomewa kawaida siku hizi timu mchezaji yoyote wanazomea ila Costa ndio best kwa Chelsea nafikiri City na Chelsea mpaka sasa ndio zitatisha ila bado wengine hawajamaliza Usajili au kuanza au kumalizia tusiseme mapema Mie maoni yangu Fabregas kwa mfumo wa Chelsea ndomana nikasema yangu macho sioni labda Kama nyuma ya ma striker Torres na Costa wafurahi! Fabregas angerudi Arsenal au united Mie nafikiri Arsenal hawajmtaka Fab so huwezi kumlaumu Fabregas kwenda Chelsea...Maisha bila unafiki hayaendi,katika haya maisha pesa ndio kila kitu.
Samuel Etoo aliwahi sema hawezi cheza chini ya Morinyo baadae akacheza
Benitez alisema hawezi fundisha Chelsea baadae akafundisha Pazi Usije shangaa Gerrard anatua Old Trafford
hii ya Cesc atazomewa sana kule Emirates but still ni usajili mzuri kwa Jose (Zouma,Costa,Cesc)
. Hilo ni kweli Mie mmoja wapo ningesema Yes kaja LFC! Ila bado nikitizama Arsenal hawajmtaka ndomana hakuwa na nafasi ya kurudi Kule si kwamba kawakatalia Arsenal kaenda Chelsea! Mie wasiwasi wangu Fabregas kidogo ningesema angefaa United kuliko Chelsea au City nachosema ni kwamba asilimia chache wliondoka EPL kurudi wamepwaya so ni mapema kusema Galasa ila Fabregas sijui Kama atakuwa Yule wa zamani ila Costa ndio atatisha tena vibaya sana kitachomuharibia Costa ni FA, Spain Ligi Yao ukimpiga mtu kipepsi Kama refa hajaona hufanywi kitu hapa Media na FA itampa tabu Fabregas Tupo 50/50 je ni Yule wa zamani?Kwahiyo Fabregas kafulia kwa sababu kaenda Chelsea?
Angeenda timu mnazoshabikia angekuwa kafulia pia?
Halafu karibia timu zote kubwa za EPL zilikuwa zinamtaka, sasa sijui zilikuwa zinataka kusajili galasa?
Njaa mbaya sana atamaliza club zote. Najua kwa style ya Mourinho baada ya Mwaka mmoja atatemwa na sijui atakwenda club gani tena labda Sunderland fc.
Mourinho kamuuza Mata, kamnunua Fabregas!!!
. Hilo ni kweli Mie mmoja wapo ningesema Yes kaja LFC! Ila bado nikitizama Arsenal hawajmtaka ndomana hakuwa na nafasi ya kurudi Kule si kwamba kawakatalia Arsenal kaenda Chelsea! Mie wasiwasi wangu Fabregas kidogo ningesema angefaa United kuliko Chelsea au City nachosema ni kwamba asilimia chache wliondoka EPL kurudi wamepwaya so ni mapema kusema Galasa ila Fabregas sijui Kama atakuwa Yule wa zamani ila Costa ndio atatisha tena vibaya sana kitachomuharibia Costa ni FA, Spain Ligi Yao ukimpiga mtu kipepsi Kama refa hajaona hufanywi kitu hapa Media na FA itampa tabu Fabregas Tupo 50/50 je ni Yule wa zamani?
Ninahisi Cesc bado yupo safi, Hivi dirisha la usajili limeanza lini?
Chelsea mpaka sasa wanasajili vizuri, na inaonyesha bado wataendelea kusajili, ila tatizo aina yao ya uchezaji wa kupaki treni sijui kama utawasaidia hawa wachezaji wanaowasajili.