Chelsea anaweza kuwa bingwa

Chelsea anaweza kuwa bingwa

reginahope

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
163
Reaction score
30
ni mtazamo wng wadau. kwa mwendo wa epl ninavyouona chelsea endapo itafanikiwa kumfunga sunderland cku ya jumamosi basi uwezekano utakuwa mkubwa sn kutwaa kombe. kuwafunga liver anfied c zani km itashindikana kwani beki ya liver inaruhusu goli nyingi sn pia SAS wamekuwa hawafurukuti sn katika big match. mechi ya sunderland itakuwa muhimu sn kwa chelsea kushinda iliweze kutwaa kombe. hyo mechi ya liver itakuwa km fainali
 
SAS hawafurukuti eee! watafunga mabeki cku hiyo hivi unajua matin sketo ana goli ngapi msimu huu?
 
Sasa kama mechi ya Liverpool sio muhimu kwa nyie kuwa mabingwa kwann unasema hiyo mechi ndo fainali? Na mashaka na uchambuzi wako naona ushainamia kibra, Sunderland ndo anakuja kwako jipange. Ngoja nkuitie jamaa mmoja hivi muendelee makelele yenu.
Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Teh Teh

Mkuu Sizinga nimekuja kamanda wangu kuongea ukweli!
 
Last edited by a moderator:
Ngonja tumpige sunderland halafu liverpool iwe draw halafu tukutane nao tuwatandike tena,teh teh teh

Ingawa hiyo mechi ya Liverpool vs Chelsea najiuliza ni jinsi gani Sterling,Suarez na sturidge wafichwe bila kufanya madhara kwenye lango letu
 
SAS hawafurukuti eee! watafunga mabeki cku hiyo hivi unajua matin sketo ana goli ngapi msimu huu?

utakuja kuniambia chelsea ikishinda mechi ya sunderland liver mtakuja kuniambia hyo mechi ya trh 27...
 
Ngonja tumpige sunderland halafu liverpool iwe draw halafu tukutane nao tuwatandike tena,teh teh teh

Ingawa hiyo mechi ya Liverpool vs Chelsea najiuliza ni jinsi gani Sterling,Suarez na sturidge wafichwe bila kufanya madhara kwenye lango letu

watafichwa kama walivyofichwa:

ezequel lavezz na cavani wa PSG.

chelseas anachukua vikombe vyote epl na champions league ndio mtajua mourinho alivyo special
 
Capital one cup is gone,FA cup the same ,may be epl na uefa mkuu...sijakuelewa unaposema vikombe vyote chelsea atachukua.
 
Mpira game la kipekee sana Ahsanteni sana jana Sunderland. Morinho ni illusionist anachezea akili za wapinzani waulizeni city tulivyowapoteza Etihad
 
Kwa hiyo hizo akili hazikuwepo Villa Park, hazikuwepo kwa vijana wa Tony Pulis? Kwa style ya BR ya sasa Chelsea ni timu inayofungika kirahisi zaidi kwa kuwa haina washambuliaji hivyo beki ya Liverpool itakula Bata Tu kusaidia mashambulizi. Hata City kabla kuvuliwa Chu.pi walikuwa na mihemko kama yenu kabla ya mechi.
 
Eti beki ya liverpool inafungika takae funga ni nani sasa?demba ba?hahahahah funny chelstic funs...
 
Eti beki ya liverpool inafungika atakae funga ni nani sasa?demba ba?hahahahah funny cheltic funs...
 
mechi ya kwanza ya Chelsea Vs Liverpool msimu huu iliishaje?
 
utakuja kuniambia chelsea ikishinda mechi ya sunderland liver mtakuja kuniambia hyo mechi ya trh 27...
weeee! wewe ndo utakujaniambia jinsi chelsea alivyopewa chai, liverpool ushindi lazima
 
Back
Top Bottom