Cheki trafiki feki alivyotiwa mbaloni

Cheki trafiki feki alivyotiwa mbaloni

Mkuu mbona hueleweki kwani pombe zinanywewa mchana siku izi?
 
Hata mimi naona amebwia Dengelua ya mchana maana hata huyo Trafiki haonekani sijui kavaa uniform rangi ya mwanga?
 
Wazee wa feva wamtia mbaloni trafiki magumashi.
Ngoja nikusaidie kuweka picha mkuu
ke.PNGke.PNG
 
Duuu kazi kweli kweli!waulizwe dala dala walete risiti za fine zake!atakuwa amekula sana!
 
Back
Top Bottom