Hatuna viongozi wa kweli wa kujali michezo ila tuna viongozi wa kupenda masilai yao na ndo maana wachezaji wetu wanapofika huko majuu na wao huweka masilai yao ya shopping na wanaporudi hutoa visababu kedekede mara baridi kali na tumebaguliwa na hoteli ya kiwango cha mlala hoi kumbe ni mezenge tuu
Mambo ya zima moto hayo. Hata viatu vya kukimbilia riadha ni tatizo. Magofu ya shule ya michezo pale karibu na uwanja wa taifa yanazidi kuota fungus. 95% ya habari za michezo ni mpira wa miguu. Umitashumta sijui umefikia wapi!. We are not serious. Sisi sio watu wa kuwa na uhaba wa professionals hata wa soka tu kwa miaka yote ambayo tunacheza huo mchezo. Anyway tuendelee na Fire-Fighting na kutarajia different results.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.