cheki laptop yangu

cheki laptop yangu

PrinceH

Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
58
Reaction score
10
Laptop yangu huwa inajizima zima yani nikiwasha natumia kama dakika kumi inajizima hata kama ikiwa nimeichomeka chaji mambo yaleyale, mwenye kuelewa tatizo anijuze tafadhari.
 
Inaweza ikawa ni tatizo la RAM yako kua ndog na PC imejaa Au ikawa na vumbi kwenye proper inayopelekea kutokupoza vzur utendaji kaz wa procesor. Lakn cna uhakka waone wanaIT walionizid kwa msaada zaidi..
 
uko sahihi kabisa. Vitu hivyo huwa vinaweza vikasababisha Laptop aua hata PC kufanya hivyo. Kama Processor ikioverheat kutokana na cooling system yake kutofanya kazi vizuri inapelekea mashine kuzima. Pia kama RAM nayo ina tatizo pia hilo laweza kutoke. Bila kusahau Operating System (OS) kama imeshambuliwa na Virus pia inaweza kusababisha. Cha msingi ni kuangalia vitu hivyo utapata ufumbuzi.
 
Laptop yangu huwa inajizima zima yani nikiwasha natumia kama dakika kumi inajizima hata kama ikiwa nimeichomeka chaji mambo yaleyale, mwenye kuelewa tatizo anijuze tafadhari.
  • Je inapozima huwa inatoa ujumbe gani kwenye screen, Au ni glafla kama destop umeme unapokatika?
 
Back
Top Bottom