Mimi siyo mwislamu. Tatizo lingine ni kuendekeza western culture kama ndio civilization. Tamaduni za middle east ukiacha mambo ya dini, wanawake na wanaume wana uvaaji wao. Dini pia ni culture. Wapo ambao wapo mashariki ya kati nao hupenda kuvaa hivyo. Tazama maigizo ya matendo ya Yesu, na angalia wanawake walikisiwa kuvaa vipi hata kabla ya uislamu. FIFA needs to reform, not everything is Western. Kwa hili Waarabu hawa walionewa tu.
TUKUZUNGUMZA ukweli, hizi jezi ni nzuri sana, na hazina matatizo yoyote mchezoni, hazijabana, sio kubwa sana, ni kaptula kama zingine ila tu ni ndefu kidogo, hilo sio tatizo kabisaa kwenye soka, jezi za juu na zenyewe pia hazina tatizo lolote, huu ni uonevu or biased mind/culture. hakuna reasoning ilioyofanyika hapo. FIFA are STUPID.
Hizi nguo za Cameroon mbona walizipiga BAN nazo? Wengi mtakuwa mnakumbuka hili tukio. Hapa hapakuwa na Uislaam wala Ukristo.
Hii jezi walikuwa wameunga na kuwa kama nguo moja. Hadi leo sielewi walikuwa wanaingiaji kuvaa. Labda nyuma kuna zipu kama gauni.
Baadaye ikaja hii ya mikono mifupi....... Nayo wakaipa BAN na Cameroon hawakuitumia tena. Ila siku moja dada yetu akatokea kavalia kama Cameroon na kutoa kituko cha Mwaka. Na mechi akashinda.
Ila mtu wa kwanza alikuwa Golkipa wa Mexico, Jorge Campos na mashati yake. Walimuangaliaaaa na mwisho wakampa BAN na yeye. Duniani watu walisikitika sana maana alikuwa kipenzi cha watu na mashati yake ya rangirangi.....

Kumbe utamaduni wa kimangaribi (sic*) ni kuvaa nusu uchi...! Kweli kaswende ya ubongo.Hawa utamaduni wao ni ugaidi waende wakatengeneze milipuko huko kwao shwaini kabisa, mbona wazungu wakienda nchi za kiarabu wanavaa viremba inakuwaje wao wakienda nchi za kizungu wasifuate utamaduni wa kimangaribi? hii ni kaswende ya ubongo.

Utumwa huo.