Cheki huyu mwanamke anavyomkomoa mme wake baada ya kumsaliti

Arabian queen

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
2,557
4,824
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike?
MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala
MKE: Na lipstiki kwenye shati?
MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi yetu
MKE: Na ile kondom iliyotumika kwenye mfuko wa suruali?
MUME: Bwana ee acha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi
MKE: Lazima niulize mie huwa nahakikisha nimeacha kila kitu hukohuko ndio narudi nyumbani
MUME: Umesema nini wewe?
MKE: Bwana ee acha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi.
 
A.queen you real make me .......
 
 
Hapo lazima uwe mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…