Cheki History Channel (USA) Trip ya Pres. Bush Bongo

Geeque

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
936
316
History Channel wanazungumziam Air Force One na wanaonyeza zaidi Bush Trip ndani ya Bongo, Iko on hivi sasa.
 
Naona it just ended lakini watarudia baada ya saa moja.
 
Last edited:
Did you mean it?...... i.e baada ya kupigwa simu moja or baada ya siku moja?

hahahaha thanks Mazee, sorry I meant baada ya saa moja, unajua nilikuwa naongea na simu wakati natype. Ahsante kwa kunistua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom