Cheka upate afya

Kabwe94

Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
6
Reaction score
1
Uzuri wa mwanamke ni
tabia,sura hata mbuzi
anayo:
Utaonja vyakula vyote
lakini maji ya ugali
hauonji:
Hata gari lijaze vipi.
kamwe dereva hakosi siti.
Hata uwe na bahati vipi
huwezi kuokota nyumba.
Fanya mapozi yote lakini
huwezi kuning'iniza miguu
kwenye mkeka:
Umeme hauna kiuno
Lakini unakatika:
Mungu akiwa dereva wa
maisha yako shetani
haombi lifti:
Ukitaka kujua masaa
yanachelewa kalale kituo
cha polisi:
Hata ngendere aruke vipi
hawezi kufika tawi la
benki:
Kunguru ni ndege lakini
hapakii abiria:
Hata uwe m'babe kiasi
gani huwezi kudai tiketi
kwenye bodaboda.
UPO HAPO
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…