Cheka unenepe..

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,098
Reaction score
12,729
Wapendwa,
Mabibi na Mabwana,
Wakaka na Wadada,
Bandugu,

Bila kuhusisha itikadi za chama na kwa wale wanaopenda kujiongezea umri wa kuishi basi nawashauri msome hiki kituko cha Ndugu yetu, Mpendwa wetu Mbunge (sijui wa wapi).. Leo ndiyo nimebahatika kusoma hii hotuba na nimejikuta nacheka tu Aisee...

Zingatia: "Kama CHADEMA ni vichaa wa Kurogwa basi mimi ni kichaa wa Kuzaliwa" - Lusinde (Mb)

No Hard feelings.

Mapendo.
TANMO
 
hahahahahahahaha! dah! my wife wako alipocheka ungempiga kwenzi, ila sidhani km usiku ugomvi ungeisha.
 
hahahahahahahaha! dah! my wife wako alipocheka ungempiga kwenzi, ila sidhani km usiku ugomvi ungeisha.

ungeisha kwa jamaa kusukumwa,kujigonga kisogo,kuanguka chini na povu kumtoka mdomoni halafu mama angekimbia kwenda coco beach kutafakuri nn kimetokea.....
 
hahahahahahahaha! dah! my wife wako alipocheka ungempiga kwenzi, ila sidhani km usiku ugomvi ungeisha.

Mkuu mi mwenyewe nimecheka zaidi jinsi huyu Jamaa alivyoi-narrate hiyo story.. In a very funny way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…