Cheka ukiwa unalala

Cheka ukiwa unalala

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
778
Reaction score
270
kichaa alikuwa ufukwenimwa bahar akiwaza,Jamaa akamuuliza:Unawaza nini?kichaa akajibu:natafakar hii bahari ingekua supu ningeinywa na chapat ngap?

Good night ma dias.
 
Kichaa genius... Hapa najiona kama kilaza vile,sikuwahi kuwaza hilo before.
 
Back
Top Bottom