Cheka: Sina hamu jamani maisha ya JELA sio mchezo

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
57,119
2,000
Hizo jela wakienda watoto wa mama huwa wanaishia kulia tu kama watoto wadogo. Wakati wanalima huwa wanapanga mstari wafungwa wote, sasa ukichelewa hata hatua moja tu nyuma ya wenzako, basi kuna wafungwa wanaoitwa viherehere, hao(wapo chini ya nyapala kimamlaka) watakutwanga fimbo hadi ujute kuzaliwa.

Lijualikali (mb)baada ya kuhukumiwa, alipelekwa gereza la Idete na kuishi siku chache sana kabla ya kuhamishiwa Ukonga. Bila shaka waligundua asingeweza kuishi pale mahali. Sasa Cheka alikua gereza la mkoa, kazi kubwa ni kuchota maji na kupasua kuni, full kuangali tv! anyway, sema tu hata ile hali ya mtu kukunyima uhuru wako, bado ni mateso na adhabu kubwa sana.
Gereza liko twn kbisa tena opposite na ofisi za manispa hpo ....
Mishe syo sana Kuna gereza mkono wa simba nalo soo hko kazi kazi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,549
2,000
Sijaona chakutisha humo gerezani labda nikwavile ni mpenzi wa kutizama muvi ngumu za mbele ambazo mateso ya humo hili la Cheka ni kama alifungwa nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha filamu na uhalisia ndugu mtanzagiza, hizo filamu hazina uhalisia 98% magereza ya Tanzania au afrika kwa asilimia kubwa ni jehenam ndogo.
.
Sasa kama huamini fanya ujinga upelekwe.
 

Shaka-Zulu

JF-Expert Member
Nov 20, 2018
412
1,000
Mtoto wake wa kwanza aliitwa Historia. Na wa pili aliyekuwa njiani, nadhani ataitwa Giografia! Cheka aliapa kuwa kila mtoto atampa jina la somo, ili waonekane wasomi!
 

Pax Vobiscum

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
400
1,000
Wangempeleka jela za kilimo kama Idete au Kiberege( wilayani Kilombero), bila shaka angekua na historia nzuri zaidi.
Haaaaaa hilo la kiberege afadhali mkuu angeenda idete daah angeumia sanaa

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom