AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,666
- 2,841
Miaka ya nyuma kabla ya teknolojia hii timu zetu za mpira zikienda nje basi huja na lundo la malalamiko mara walichezeshwa uwanja una maji mkiwauliza wenzenu walikuwa samaki ?mara ooh hatukwenda na viatu vinavyohimili hali ya maji unawaza unakwenda vitani na manati tu? sasa ndio haya au labda lugha?Cheka analeta Porojo tu. Yeye, Akubali kuwa alipigwa, mbona kawaida tu!
Video hii hapa:
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Miaka ya nyuma kabla ya teknolojia hii timu zetu za mpira zikienda nje basi huja na lundo la malalamiko mara walichezeshwa uwanja una maji mkiwauliza wenzenu walikuwa samaki ?mara ooh hatukwenda na viatu vinavyohimili hali ya maji unawaza unakwenda vitani na manati tu? sasa ndio haya au labda lugha?
Kulikuwa na vituko vingi sana miaka hiyo watakuja na kusema ooh taa zilizimwa uwanjani mnawauliza wenzenu walikuwa bundi? jibu hakuna tuache Porojo mambo yamebadilika. Nakumbuka enzi hizo gor mahia na afc leopards zipo vizuri Kenya walikuwa wakienda nje wanachezea kichapo sasa wamepeleka mtangazaji nae kauzu utasikia redioni "baba moi Kenya inaonewa huku "kumbe wapi![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We jamaa ni kiboko.Cheka analeta Porojo tu. Yeye, Akubali kuwa alipigwa, mbona kawaida tu!
Video hii hapa:
Visingizio unadhani tumekutana navyo barabarani? ni vya kurithi kuna waqt timu yetu moja ilikwenda nje basi walivyorejea na kusema mji waliotakiwa kwenda kama iringa wenyewe wakapelekwa kigoma baadae ndio wanaambiwa kuwa huo sio mji wanaotakiwa wacheze sasa fikiria mziki wa gari toka kigoma mpaka iringa.Tukiacha uswahili nchi yetu itapiga sana hatua