Hii imetokea Mbagala katika
purukushani za kugombea daladala masikini bibi wa watu akafanikiwa
kupata siti,basi kwa furaha machozi yakaanza kumtoka ikabidi konda
amuulize ''bibi vipi mbona unalia tena'' yule bibi akamjibu ''aah we
acha tu mjukuu wangu nipo hapa Mbagala kwa miaka 30 lakini sijawahi
kupata siti kwenye daladala hata siku moja ndio leo nimebahatika konda
akamjibu ''duuh pole bibi lakini hiyo siti uliyokalia ni ya
dereva''