Cheka kidoogo

Cheka kidoogo

Idd hashim

Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
79
Reaction score
17
Baba alinunua robot ambayo nna uwezo wa kutambua kwamba mtu fulani amesema uongo na huwa inamchapa kibao mtu huyo" siku moja baba akamuuliza mwanae mwanangu mtihani wako wa kisw. Umepata ngapi? Mtoto akajibu nimepata mia! Akalambwa kibao na robot' baba akasema enzi zangu mi nilikuwa nakuwa wakwanza akala kibao, mtoto akacheka' mama yake akamwambia we unacheka nn si unajua huyu ni baba yako? Tobaa maza akalambwa kibao . Je wajua kosa lake?
 
mama kachakachua uyo mtoto ni wa nje ya ndoa. teh teh teh teh teh
 
Hakika huo ndo ukweli asingechakachua sidhani kama angelambwa kibao
 
Ama kweli njia ya muongo fupi

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Hahahahaha......... wote waongo hao na siku za mwizi na arubaini, mama kajifunga mwenyewe
 
Hiyo robot nzuri sana inauzwa wapi? Inafaa sana kwa kizazi hiki cha zinaa hahahahaha good!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom