Cheka kidogo

Cheka kidogo

Moss B

Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
54
Reaction score
4
kama kukaa kimya ni dawa endelea kukaa hivyo hivyo ili umalize DOZI

jiulize aliye chora raman ya dunia yeye alkaa wap?

eti serikari inatumia brain wananchi tunatumia spinal cord
 
Kuchekesha waachieni akina joti jaman!sio kila mtu mchekeshaji

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kama kukaa kimya ni dawa endelea kukaa hivyo hivyo ili umalize DOZI

jiulize aliye chora raman ya dunia yeye alkaa wap?

eti serikari inatumia brain wananchi tunatumia spinal cord

dah ungekuwa chuo ngesema ni mazoezi ili uchape assignments zagruuups wewe ila kjcheka bado (5%)
 
HHaahaha rwakukambula huja cheka hapo kweliiii
 
Hakuna cha kuchekesha hapo bdo unahtaj training@ kama ulikuwa field af m supervisor wako nakutia mikonde.
 
Back
Top Bottom