thadei kimambo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 220
- 126
Jamaa alienda kwenye interview, ilipofika zamu yake kuingia ofisini kuhojiwa maswali akaingia moja kwa moja hadi kwa bosi. BOSI:-"wait please". JAMAA:- "sixtyfive kilogram sir."