Cheka ki sport

Cheka ki sport

Django

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
354
Reaction score
147
"Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe, akalala na
usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama kitandani.


"Toka hapa nani wewe unakuja kitandani kwangu?"
"mimi ni mtakatifu Petro na hapa si kitandani kwako bali ni mbinguni

Ina maana nimekufa? Mbona mimi bado kijana? Naomba unirudishe duniani."
"Inawezekana, lakini siwezi kukurudisha kama mtu, labda nikurudishe kama
mbwa au kuku"

Harry akakumbuka mbwa anavyopata taabu ya kulinda, " Bora nirudi kama kuku"



Mara akajikuta yuko kwenye banda, akiwa kuku jike na matakoni kunawaka
moto. Akamwona jogoo pembeni, akamwambia shida yake.


"Kaka ninasikia moto matakoni, inakuwaje?"
"Kwani hujawahi kutaga weye?" Jogoo akamjibu kwa maringo.
"Sijawahi"
"Chuchumaa, kamua kwa nguvu yai litoke."


Basi akakamua, yai la kwanza likatoka, akakamua tena yai la pili hilo!
Akiwa anataka kukamua yai la tatu akasikia sauti ya mke wake.


"Harry, pumbavu wewe, unakunya kitandani!"










 

Similar Discussions

Back
Top Bottom