Chedema bado imara msibabaishwe na akina hamahama

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,978
Watanzania wanajua kuwa mtetezi wao ni CDM. Wanajua kwa vyama vingine ni washirika wa CCM, ni vibaraka. Wanajua hili tena sana maana wameumia miaka hii mitano. Kila mmoja ameguswa na mateso ya awamu hii kwa namna moja au nyingine, na aliyetoa kauli ya kuwatetea ni CDM.
Kuweni imara, kaza buti , anzisha wave nyingine ya CDM ni msingi , wastue wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahah vijana wa Chadema mnafurahisha
Tuwamwage tuwamwage mafisadi eee wameshindwa kutuongoza tuwamwage eee, Kila kukicha ni longo longo, mara mbowe mara chadema lkn wkt figisu kibao kwa wanaedai ni marehemu ..mna muogopa marehemu kvp kama c uenda wazimu???
 
Hahaha mwaka huu maji mtayaita mma

October mtabaki km kuku aliyemwagiwa maji
Mtapenyea wapi Makundi yote mmeyaumiza labda mpate kura za TISS, wastaafu, viongozi wa dini,wakuu wa vyombo vya ulinzi plus msaada wa polisi dhidi ya nguvu ya umma.
Mlimuibia Lowasa akakubali yaishe Safari hii kitaeleweka tu
 
Sana na kila mtanzania anaona jinsi wabunge wetu wa CHADEMA wanavyotoa hoja kutetea waTanzania bungeni huku wale wa CCM kazi ni kuomba miongozo kukwanisha hoja za watetezi wa kweli wa wananchi bungeni.
 
Duu huu mkwara unsogopesha kweli utafikiri upo sirias kumbe umeshiba umeamua kujifurahisha tu
Mtapenyea wapi Makundi yote mmeyaumiza labda mpate kura za TISS, wastaafu, viongozi wa dini,wakuu wa vyombo vya ulinzi plus msaada wa polisi dhidi ya nguvu ya umma.
Mlimuibia Lowasa akakubali yaishe Safari hii kitaeleweka tu
 
Refa ni wananchi kwenye mechi ya uzinduzi ccm,nccr,tlp na cuf vs chadema na ACT Nani atafunga goli
20200530_210438.jpeg


Tatu bila kabla ya mechi
 
Chadema ingekuwa imara usinge hitaji kuandika uzi wa kutukumbusha uimara wake
 
Back
Top Bottom