Check no. imetoka tarehe 07/08/2014

Check no. imetoka tarehe 07/08/2014

Mtendaji wa kaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
334
Reaction score
59
Habari zenu wakuu! Napenda kuuliza kwa wenye uzoefu na haya mambo! Cheque namba imetoka tarehe 07.08 ni mwajiriwa upya,je uhakika wa mshahara mwisho wa mwezi huu wa nane upo? Nawasilisha
 
Habari zenu wakuu! Napenda kuuliza kwa wenye uzoefu na haya mambo! Check namba imetoka tarehe 07.08 ni mwajiriwa upya,je uhakika wa mshahara mwisho wa mwezi huu wa nane upo? Nawasilisha

Unaongelea Cheque Number au?
 
Unaongelea Cheque Number au?

Ni mwajiriwa mpya,nimeambiwa check namba ya mshahara imetoka! Wanasema ninasomeka hazina je mshahara wa mwezi huu nitapata? Maana bila check no/cheque no..wanasema hupati fedha.
 
Check=American Eng. Cheque=Britain Eng. Zote zinakubarika na std english but we prefer zaid Be
 
Check=American Eng. Cheque=Britain Eng. Zote zinakubarika na std english but we prefer zaid BrEng
 
utapata japokuwa mara nyng mshahara wa kwnza unachelewaga sana...
 
Habari zenu wakuu! Napenda kuuliza kwa wenye uzoefu na haya mambo! Cheque namba imetoka tarehe 07.08 ni mwajiriwa upya,je uhakika wa mshahara mwisho wa mwezi huu wa nane upo? Nawasilisha

utapata mkuu
 
Back
Top Bottom