NGAYANIMO
Member
- Feb 17, 2026
- 36
- 55
D. ROB " VERSE "
Oh Nakuja na Check na flow hi.!!👋 Hodi hi.!!👋 oooh/
Mlango uko wapi?
Kama funguo ni Elimu niwe juli kama Mwalim/
Ni funge hizi takwimu/
Yoh..!!
Rap mahesabu/
Isiwe Taabu/
Watu wamekula Kitabu/
Tuseme Ma - Book /
Yoh..!!
Ma - kilo ya Dhahabu/
Ninachokitaka mimi ni Karatasi na karamu/
Ni Cheze karibu na Real kama Drezzy na Sun floor/
Kata ufanye shoti kuwa kidogo ndogo/
Yoh..!!
Lazima ipate/
Tuje kwenye mapesa mimi sijawahi kucheka Cheka/
Flow kwako naleta/
Na flow madem kukata/
Wana kupa Kupa/
Nawe Unapata Pata/
Fank..!!
Niite fank Pop/
Check navyo flow/
👋 hi hoi..!!
Unavyo flow/..
But before niliandika focky pop kumbe neno sahihi ni fucky pop