Check mfano huu!

Check mfano huu!

adol2

New Member
Joined
May 9, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Mtoto wa mbu aliruka na kufanya safari yake kwa mara ya kwanza. Aliporejea nyumbani babake akamuuliza, vipi matembezi yako umeyaonaje? Mbu akajibu ilikuwa safi sana baba kila nilipopita watu walinipigia makofi! Babake akasema, walikuwa hawakupigii makofi ila walikuiwa wanataka kukuua!! Somo katika maisha ya binadamu. Siyo kila anayekupigia makofi anakusifu. Si kila anayecheka nawe anakutakia mema, wengi hawapendi kukuona unaishi na zaidi ukifanikiwa. "TAKE CARE". Nakutakia siku njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom