Cheche: "mmekula na hamshibi?" - Selelii

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
toleola30.jpg

Jisomee mwenyewe!
Mahojiano na Selelii yanaweza kusikika hapa: Mahojiano na Mhe. Lucas Selelii (Nzega) - "Mmekula hamshibi?"
 

Attachments

  • TOLEOJIPYA30.pdf
    447.6 KB · Views: 281
Great insight!!
Suala lingine linalonitatiza sana siku hizi ni hawa watu wanakula nje nje kabisa bila aibu! Alafu tukiwakamata wanajiuzulu tu au ishu inaisha kiaina ila hawarudishi hicho chakula ambacho in essence wametuibia tukiwaona. Tutaendekeza ishu kama hizi mpaka lini jamani?!
 
jarida la bure! Good work! Umenikumbusha nadhani miaka ya sabini au sitini kulikuwa na gazeti pale chuo kikuu liloitwa cheche! lilikuwa na nguvu kweli, nalo lilikuwa la bure, na lilisafiri nchi mbalimbali! Hongera sana mkuu! Kapendekezo kangu kadogo, nimeona umejaribu kuweka swala la jinsia, ingekuwa vizuri maandiko yake yangekuwa kwenye issue mnayoikata.. kitu kama mtizamo wa mabinti katika ufisadi? au kinamama na uchambuzi wao wa siasa! ingeleta hamasa. Thumbs up still for gender perspective.
 
Jibu kwa Swali la wiki. We all know that the current administration came into power by 'any means necessary' including kumchafulia Dr. Salim, kuchinja ngamia 100..lol.. kafara and worst of all ROstam. He is Dowans.. he is Kagoda... he is a CANCER.. hawa kinalowassa ni ujinga tuu and lack of vision. Tamaa ya fisi na ulafi wakijinga. JK turns a blind eye because the so called 'King Maker' made HIM! Ashakum si matusi, lakini JK hawezi 'kunyea kambi' maana ukishakula nyama ya mtu huwezi kumkamata muuza bucha! SO what I suggest is we take our case to the court of the PEOPLE! sio kisutu. I will say this now, I am not a partisan operative and as it is the case, I don't believe we have a well evolved Parliamentary Democracy... perhaps by African standards which are rather poor. In time, I believe we will be able to drastically reduce this type of cancerous corruption and undo the current status quo which seems to suggest that the Government is not in the service of the People but the other way round... (Viongozi wetu sio watumishi wetu bali sisi ndio watumishi wao..)
 
Back
Top Bottom