Akiosha inakuwa mpya, by the way, tunakutana na wapenzi wachache sana, almost 0.01 percent ya ambao hawajachovywa wala kuchovya.
It makes no difference.
Akiosha inakuwa mpya, by the way, tunakutana na wapenzi wachache sana, almost 0.01 percent ya ambao hawajachovywa wala kuchovya.
It makes no difference.
Mkuu;
It makes such a big difference. Tofautisha "mpenzi" na my wife. Kama ni hao wa pembeni, sawa tu. Lazima uchapiwe. Upo wewe mlipa kodi ya nyumba, yupo mleta chakula, yupo mtoa fedha ya salon. Kila mmoja kapangiwa siku yake. Lakini ukipatwa na my wife a cheater, utalia kilio cha mbwa kidomo juu. Ina uma ka nini
Ukiwa mtumwa wa pesa ndo utaona hilo la ufujaji lina nguvu kuliko kucheat!!! Pesa zitatafutwa tu ila mtu kukucheat ni kuuchafua mwili... Haisafishiki hiyo