Najua itakutesa sana, maisha yako yote. Ili kurudisha furaha yako,fanya hivi:-
Andikisha mali zote kwa mama/baba yako
Tafuta mchepuko/ nyumba ndogo na uzae naye
Wekeza mapenzi nyumba ndogo na kwa watoto.
Baada ya hapo, mwambie mkeo anaweza kuondoka hapo nyumbani na kwenda kuishi kwa mpenzi wake wa zamani.