Cheating isn't always kissing, touching, or flirting

Flirting ni nini?
Utani uliokaa kama kimapenzi au kutamaniana. Inatokea sana maofisini, mfano mwanaume anamwambia binti una lips nzuri zinafaa kwa kukiss.. halafu binti anajichekesha tu kwi kwi kwi wee bwana acha utani huo.
 
Cheating isn't always kissing,
touching, or flirting. If you
gotta delete text messages
so your partner won't seem
em, you're already there.

Muwe na wikiend njema.

MKUU
UNGEWEKA PICHA YA UTHIBITISHO.
 
Utani uliokaa kama kimapenzi au kutamaniana. Inatokea sana maofisini, mfano mwanaume anamwambia binti una lips nzuri zinafaa kwa kukiss.. halafu binti anajichekesha tu kwi kwi kwi wee bwana acha utani huo.
Thanx, hiyo mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…