Cheaters vault ni kutumia smartphone ya xiaomi TU!
Huna haja ya kisimu kidogo sijui ukifiche.
Huna haja ya kua na laini maalumu kwaajili hiyo.
Huna haja ya kublock block michepuko.
Jibu ni Xiaomi(mi.com)
1.Ina sehem ya kuhide sms za namba zako maalumu ulizochagua zisionekane bila kutumia app ya kudownload!
2.Second space.hii ni kama kutumia os mbili katika device moja.huko kunajitegemea kwa kila kitu kwanzia passwords,apps,media files nk.
Unaweza kumwachia mtu wako simu akae nayo miezi na miezi na asijue lolote lile!