Ina operating system gani ? processor aina gani ? na speed ? na ni brand new au used ? naomba majibu mapemaNauza portable laptop aina ya ACER ina 1Gb memory, storage ni 160 GB na betri yake inafanya kazi kwa muda wa masaa 6 mfululizo kwa Tshs. 300,000 tu. Laptop bado mpya nimeitumia kwa muda wa wiki mbili tu. Serious buyer tunaweza kuwasiliana kwa 0657 621427.