Chawa wa kichwa (Pediculus humanus capitis)

decomm

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
726
Reaction score
666
Chawa[https://upload]

Chawa wa kichwa (Pediculus humanus capitis)

Uainishaji wa kisayansi

Himaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Arthropoda (Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui)

Nusufaila:Hexapoda (Arithropodi wenye miguu sita) (bila tabaka):

Dicondylia (Wadudu walio na mandibula zenye condyle mbili)

Ngeli:Insecta (Wadudu)
Linnaeus, 1758

Nusungeli😛terygota (Wadudu wenye mabawa)
Lang, 1888

Oda ya juu😛araneoptera
Oda😛socodea

Nusuoda:Troctomorpha

Oda ndogo😛hthiraptera
Ngazi za chini

Familia za juu 4:

Amblycera

Anoplura

Ischnocera

Rhyncophthirina

Chawa ni wadudu wadogo wa oda ndogo Phthiraptera katika nusuoda Troctomorpha wa oda Psocodea. Wahenga wao ni chawa-vitabu na kama hawa chawa hawana mabawa. Wadudu hawa wote ni vidusia wa nje juu ya ndege na mamalia isipokuwa Monotremata (kinyamadege na mhanganungu), popo, nyangumi, pomboo na kakakuona. Kuna aina mbili za chawa: wanaokula nywele, manyoya na seli za ngozi zilizokufa, na wanaofyunza damu ya mwenyeji. Chawa wa aina ya kwanza wana vipande vya mdomo vya kutafuna, wale wengine wana mdomo wa kufyunza. Miguu inabeba aina za magando madogo ili kushika nywele au manyoya ya mwenyeji. Kwa kawaida mayai ya chawa yamegandia nywele au manyoya, au pengine yamewekwa ndani ya shina la unyoya.

(c) Wikipedia
 
Kwanini umekumbuka chawa na sio kiroboto, Kunguni nk,??!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom