Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,759 Reaction score 37,374 Dec 18, 2025 #1 Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na Rais wa Marekani. Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia. Kuwekea kikwazo na Marekani sababu ya udanganyifu na mauaji ambayo wanatumia nguvu nyingi. Walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.
Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na Rais wa Marekani. Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia. Kuwekea kikwazo na Marekani sababu ya udanganyifu na mauaji ambayo wanatumia nguvu nyingi. Walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 12,240 Reaction score 20,545 Dec 18, 2025 #2 Hajaiona Trump hio amshukie na maban ya kutosha..?
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 45,309 Reaction score 37,106 Dec 18, 2025 #3 Fbn said: Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na raisi wa marekani. Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia. kuwekea kikwazo na marekani sababu ya udanganyifu na mauwaji ambayo wanatumia nguvu nyingi. walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.View attachment 3516978 Click to expand... halafu kuna wale vijana mamluki wa kile chama chenu cha waropokaji wanaolelewa pale nairobi na yule mbibi mwenye mashavu kama bodi ya bajaji, mbona siku hizi hawatengenezi tena artworks za porojo za oct.29? au uzushi umewaishia?
Fbn said: Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na raisi wa marekani. Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia. kuwekea kikwazo na marekani sababu ya udanganyifu na mauwaji ambayo wanatumia nguvu nyingi. walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.View attachment 3516978 Click to expand... halafu kuna wale vijana mamluki wa kile chama chenu cha waropokaji wanaolelewa pale nairobi na yule mbibi mwenye mashavu kama bodi ya bajaji, mbona siku hizi hawatengenezi tena artworks za porojo za oct.29? au uzushi umewaishia?
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,903 Reaction score 8,088 Dec 18, 2025 #4 Unaongelea hawa machawa viazi pumpkin heads machawa promax buku7 from lumumba street!
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 52,144 Reaction score 126,180 Dec 18, 2025 #5 Sijaelewa, kwamba kuna watu walisema amekutana na Trump au?
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,278 Reaction score 14,558 Dec 18, 2025 #6 Acha waendelee kujipitisha barabarani na mizigo yao.