Viongozi wa hivyo vyama walitakiwa kuwa behind bars kwa kujihusisha na utapeli wa kisiasa.Haya ni matusi kwa Mheshimiwa Dr Mboe na Advocate Hashim. Viongozi wenye Heshima duniani kupewa kashfa na kijana asie mwerevu.
Pia, CCM tunashinda kihalali (hoja, kampeni Safi, ilani murua). Poleni iliyokua CHADEMA
Mkuu wewe click report thread then toa maoni yako. Wakati mwingine inakubidi utoe soft boycott kwa nyuzi kama hiziNyuzi nyingine zilipaswa kuwa tu reply ndani ya nyuzi zilizoshiba🤔
MicheweniMkuu utatiki ukiwa wapi
Uwe makini wasije kukuchewia huko micheweni mkuuMicheweni
PoleUnauliza jibu?
Haya ni matusi kwa Mheshimiwa Dr Mboe na Advocate Hashim. Viongozi wenye Heshima duniani kupewa kashfa na kijana asie mwerevu.Haya ni matusi kwa Mheshimiwa Dr Mboe na Advocate Hashim. Viongozi wenye Heshima duniani kupewa kashfa na kijana asie mwerevu.
Pia, CCM tunashinda kihalali (hoja, kampeni Safi, ilani murua). Poleni iliyokua CHADEMA