Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Wakati Jon mrema na wenzake wako bize na press conference baada ya kuondoka chadema niliwashangaa sana
Kwanini nasema hivi siasa ni imani ambayo unatakiwa uwajengee wananchi kwa mda mrefu na ina gharama sasa wakina Jon mrema na wenzake wakataka kutumia shortcut naamini wameona game lilivyokuwa ngumu
Mfano mimi nimetangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania nafahamu ni mchakato mgumu sana na upo kwenye kujenga imani kwa wananchi hii ndo sehemu ngumu kuliko zote
Ndo maana wale wapenda shortcut wameona kujenga imani kwa wananchi ni kazi ngumu sana basi wameamua kuwa machawa narudia tena kujenga imani kwa wananchi ni kazi ngumu sana
Unatakiwa uwe na msimamo ili ile imani waliyokuwa nayo kwako isiondoke mfano kipindi cha magufuli tuliona kuna wanasiasa wa upinzani walikuwa wananunuliwa ila wote walionunuliwa wamepotea kwenye siasa sababu wananchi waliondoa imani juu yao
CCM mpaka wanatumia jeshi ni kwa sababu ile imani kutoka kwa wananchi hipo tena hilo wanalijua vizuri ndo maana siasa zao wanazifanya kwa msaada wa polisi
Kama wanataka chauma wawe wapinzani wa kweli wanaoungwa mkono na wananchi basi wanakazi ngumu sana ya kufanya, ila kama wako kwa ajili ya madeal yao hawana kazi ngumu ya kufanya ni kitendo cha wao kuwa mamluki