Naichukia siasa kama mavi, kwa mauongo ya namna hii. Ukiniambia siasa sikuelewi.Uso wake tu unamsaliti anaonekana muongo muongoo
Wajinga wengi wanaichukia siasa.Naichukia siasa kama mavi, kwa mauongo ya namna hii. Ukiniambia siasa sikuelewi.
No reform No ElectionNaibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Tanzania Bara (CHAUMMA) Bw. Benson Kigaila, amesema wako tayari kusimamisha wagombea katika majimbo 272 na wana uhakika wa kushinda viti vyote sababu wana sera za kuiletea maendeleo nchi
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chanzo: ITV
Mjinga muoga namkubali sana, kuliko shujaa aliyekufa. Tanzania we are not one/together.Wajinga wengi wanaichukia siasa.
Kuendelea kupata taarifa kama hizo tuma neno "NICHEKESHE" Kwenda namba "155544"Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Tanzania Bara (CHAUMMA) Bw. Benson Kigaila, amesema wako tayari kusimamisha wagombea katika majimbo 272 na wana uhakika wa kushinda viti vyote sababu wana sera za kuiletea maendeleo nchi
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chanzo: ITV
Ase wagogo chikutya, mleche Chigaila alonje yasina mahala.Kuendelea kupata taarifa kama hizo tuma neno "NICHEKESHE" Kwenda namba "155544"
Kwani walipokuwa wanafanya siasa walikuwa hawajui yanaweza kuwakuta haya? Walijua wanafanya kwaajili yangu ili niwapelekee mkate?Mjinga muoga namkubali sana, kuliko shujaa aliyekufa. Tanzania we are not one/together.
Wanakushabikia, ukipatwa na majanga wanaweka mikono nyuma kama hawakujui.
Yatima na wajane wa Ben Saanane, Ally Kibao, Mawazo, Azory Gwanda, na maelfu waliouwawa na wengine wako jela miaka 8 tangu Magufuli,,, umewahi kuwapelekea japo mkate au unajitia shujaa kwenye simu.