Upuuzi mtupuSisi CHAUMMA sera yetu ni chakula, mgonjwa akifika hospitali badala ya kukutana na dripu anakutana na ubwabwa, anapiga ubwabwa anashushia na dawa." - Devotha Minja, Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CHAUMMA kwenye uzinduzi wa kampeni.
Sisi CHAUMMA sera yetu ni chakula, mgonjwa akifika hospitali badala ya kukutana na dripu anakutana na ubwabwa, anapiga ubwabwa anashushia na dawa." - Devotha Minja, Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CHAUMMA kwenye uzinduzi wa kampeni.
Hui nchi inachezewa sanaSisi CHAUMMA sera yetu ni chakula, mgonjwa akifika hospitali badala ya kukutana na dripu anakutana na ubwabwa, anapiga ubwabwa anashushia na dawa." - Devotha Minja, Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CHAUMMA kwenye uzinduzi wa kampeni.
Unaona cha mtume ni sera za kipuuzi?Hii nchi haiko serious….Even if ni Ccm B ndo waje na sera za kipuuzi hivi!?
Mama Samia kweli unashindana na watu kama hawa!Sisi CHAUMMA sera yetu ni chakula, mgonjwa akifika hospitali badala ya kukutana na dripu anakutana na ubwabwa, anapiga ubwabwa anashushia na dawa." - Devotha Minja, Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CHAUMMA kwenye uzinduzi wa kampeni.