GE2025 CHAUMMA kufufua viwanda vya chai Njombe

GE2025 CHAUMMA kufufua viwanda vya chai Njombe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mgombe Urais wa Jamhuri ya Muungano, kupitia chama cha Ukombozi wa UUMA (CHAUMMA) Bw. Salum Mwalim ameahidi kufufua viwanda vya chai vilivyofungwa nchini, kwa kipindi cha miaka mitano ijayo ili kuchechemua shughuli za uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa baada ya zao la chai kudorora.

Soma pia: Makada: CHAUMMA hawana tofauti na CCM ni Wezi tu, tunarudi CHADEMA

 
Back
Top Bottom