Musachawenyu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 279
- 521
- Thread starter
- #21
Hiyo project ngumu kama kubeba ngada aiseeWameishia kujamba
Hiyo project ngumu kama kubeba ngada aiseeWameishia kujamba
Chauma ni sisiemu kwahiyo wapoHelikopta na siku 16 za maangamizi. Kiko wapi? Hatimae wameangamia wao. Mrema miyayusho sana
Nao wamesharudisha Fomu?Chauma ni sisiemu kwahiyo wapo
Tatizo wanapewa pesa ya ufisadi ila hawana watu, ni kama mpira uwanjani bila washabiki.CHAUMMA: Kampeni ya kuruka na chopa mikoa 16 imeishia wapi?
MitumbaULAYA WAMEFUNGUA ndege za Tanzania SIO salama ,so hata Huku Tanzania ni hatari kupanda hiyo mikweche
Ilifia palepale mwanza furahisha. Siku hiyo hiyo......NRNEChaumma walitangaza kuanza operation C4C wakiruka na Chopa.
Hatimaye wakaizindua pale Mwanza na mara ya mwisho nimewasikia wakiwa Mara.
Je hizo operation zinaendelea au wamerudi kwenye drawing board?
Wana backup ya chama twawalaOyaaa Chauma imefika mwisho mtaka yote kwa pupa hukosa yote
Si kweli!Nakataaa!Tupo tumejifungia tunachambua mchele wa kupikia ubwabwa maharage kwa maagizo ya Mzee Rungwe.Ilifia palepale mwanza furahisha. Siku hiyo hiyo......NRNE
Mrema atakua kashamalizia nyumba kwa posho toka CHAMA CHA MANUNDAHiyo project ngumu kama kubeba ngada aisee